Tell your friends about this item:
Weka Pesa Pata Pesa: Mashairi yanayohusu kamari na mengineyo
Mniko Chacha
Weka Pesa Pata Pesa: Mashairi yanayohusu kamari na mengineyo
Mniko Chacha
'Weka Pesa Pata Pesa' Hivyo ndivyo wachezesha kamari wanavyowashawishi na kuwadanganya watu wanaopenda kubeti ili kupata Pesa za bwerere!Vijana walio wengi pamoja na wazee wamejikuta kwenye uraibu wa kucheza kamari huku kila siku wakizidi kufilisika mali zao kutokana na michezo hiyo ya kubeti (kamari). Ajabu kubwa ni pale unapowakuta vijana wanabeti au kucheza kamari tangu jua kuchomoza hata kuzama. Nani atalijenga taifa ikiwa nguvu kazi imezama kwenye uraibu wa kubeti?Pamoja na hayo, kitabu hiki pia kimesheheni mashairi mengine yanayohekimisha kuhusu maudhui tofauti tofauti. Karibu ujisomee kitabu hiki cha mashairi, ujihekimishe kupitia maneno kuntu yaliyotumika kwenye kitabu hiki.
44 pages
Media | Books Paperback Book (Book with soft cover and glued back) |
Released | February 26, 2020 |
ISBN13 | 9798618392709 |
Publishers | Independently Published |
Pages | 44 |
Dimensions | 152 × 229 × 2 mm · 73 g |
Language | Afrikaans |