Vitimbi vya Mama wa Kambo - Ally Yusufu Mugenzi - Books - Mkuki Na Nyota Publishers - 9789987084081 - December 3, 2020
In case cover and title do not match, the title is correct

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Price
$ 29.99

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Oct 11 - 25
Add to your iMusic wish list

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released December 3, 2020
ISBN13 9789987084081
Publishers Mkuki Na Nyota Publishers
Pages 162
Dimensions 129 × 198 × 10 mm   ·   149 g
Language Swahili